Kweli mapenzi yananenepesha

Jitahidi kesho umtoe 'out' angalau apate ka waini kidogo na kiti-fire sio mbaya.
 
wee, mie ni mke ndoa naiheshimiwe babu baridi hili na hizi mvua, ndani unavyakula, unaomba uzima uamke lakini show show yan kaz moja tu kupeana joto bila kutuma ya kutolea wala kutafta sabuni uoge janaba la bure
Nakuona unavyoturingishia
 
Anha, mna wiki moja, shida n kuwa umeshatumia 50% ya siku zenu za furaha... Sjui itakuaje sasaπŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…