Kweli mbuzi kafia kwa muuza supu

Panzermeyer

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2016
Posts
471
Reaction score
325
Yaani siku moja tu baada ya kupewa madaraka na rais kusema ma RC wawalaze watu ata masaa 48 prison, RC wa dsm amepata majaribu.

Sijui watu wanapima sumu kwa kuiramba / makali ya upanga kwa kupitisha shingoni
 
Attachments

  • wp_ss_20160316_0006.png
    77.2 KB · Views: 65
Hahahaaaa... Alimsamehe lakini
 
Yaani siku moja tu baada ya kupewa madaraka na rais kusema ma RC wawalaze watu ata masaa 48 prison, RC wa dsm amepata majaribu.

Sijui watu wanapima sumu kwa kuiramba / makali ya upanga kwa kupitisha shingoni
Je Hakuwa na Bastola? Angemmaliza pale pale!!! LOL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…