get well soon... inasemekana watu wanaoongoza kwa poor adherence kwenye medication ni medical personel
Wanajf toka juzi naumwa malaria na pneumonia,ishu inakuja kwenye kutumia dawa.mimi huwa ni mkali sana sana kwa wagonjwa wangu kuhusu suala la dawa hata wakiniambia zinawashinda.sasa na miye nimeandikiwa madawa hayo hayo na kusema ukweli yanaudhi ile mbaya alafu ishu inakuja kwenye kuchoma sindano yaani ni ugomvi mtupu kidogo nilie jana..wagonjwa nisameheni kwa kuwatesa,wanajf niombeeni nipone haraka,i cant take these medicines anymore
pole mkuu kweli kuumwa siyo mchezo get well soon mkuu.Wanajf toka juzi naumwa malaria na pneumonia,ishu inakuja kwenye kutumia dawa.mimi huwa ni mkali sana sana kwa wagonjwa wangu kuhusu suala la dawa hata wakiniambia zinawashinda.sasa na miye nimeandikiwa madawa hayo hayo na kusema ukweli yanaudhi ile mbaya alafu ishu inakuja kwenye kuchoma sindano yaani ni ugomvi mtupu kidogo nilie jana..wagonjwa nisameheni kwa kuwatesa,wanajf niombeeni nipone haraka,i cant take these medicines anymore