kweli mguu wa bandia hauna vinyweleo

kweli mguu wa bandia hauna vinyweleo

Mallata Jr.

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
461
Reaction score
392
Mlevi kakutwa akikojoa eneo la shule,mwalimu mkuu akamuuliza "hilo bango limeandikwaje?' mlevi "usikojoe hapa".Mwl mkuu "so,unafanya nini hapo?" mlevi kwa umakini na upole akamjibu.. "haki ya mungu walai,mi nilijua ndio jina la shule"
 
Mkuu heading na post km haviendani hivii

...why?...
 
Mkuu heading na post km haviendani hivii

...why?...

Mkuu ngoja na mimi ni+ hapo kwa walevi.
huyu mlevi yeye alikutwa anakojoa sehemu isiyo ruhusiwa, askari kwamwambia atoe fine ya Tsh.5000, mlevi hukua na 5000 kamili hivyo akatoa elfu 10 akaomba chenji, yule askari huku akiondoka akamwambia 'KOJOA TENA SINA CHENJI'
 
Back
Top Bottom