Mallata Jr.
JF-Expert Member
- Feb 24, 2014
- 461
- 392
Mlevi kakutwa akikojoa eneo la shule,mwalimu mkuu akamuuliza "hilo bango limeandikwaje?' mlevi "usikojoe hapa".Mwl mkuu "so,unafanya nini hapo?" mlevi kwa umakini na upole akamjibu.. "haki ya mungu walai,mi nilijua ndio jina la shule"
Mkuu heading na post km haviendani hivii
...why?...
Vinaendana sana, yahitaji utafakari sana mkuu
Mkuu heading na post km haviendani hivii
...why?...
Katumia mtindo wa methali nahau na tafsida
Haya dah mi chenga hapo
Sent from Nokla using Jf app
Haya dah mi chenga hapo
Sent from Nokla using Jf app
Hivi haya maneno yenu sijui my phone is jamiiforum and nokia or somatang huwa mnayaandika au ni automatically yanajitokeza???Sent from Nokla using Jf app..This must be very very new brand n mayb the most sophisticated one!!!
Hivi haya maneno yenu sijui my phone is jamiiforum and nokia or somatang huwa mnayaandika au ni automatically yanajitokeza???
Hivi haya maneno yenu sijui my phone is jamiiforum and nokia or somatang huwa mnayaandika au ni automatically yanajitokeza???
Mkuu heading na post km haviendani hivii
...why?...