Kweli Mo anaichezea Simba

Unaruhusiwa kuhama, zipo Lipuli,Singida Utd, Stand km huchangii lolote, acha ss tupige tilalila MO atoaha
 
Tunajua yanga hampendi maendeleo ya Simba.
Vip uwanja wa kigamboni mmeshaanza kujenga?
 
Nyie ndio mashabiki oya oya mnameza kila mnachoambiwa na mwekezaji feki
Acheni majungu na roho mbaya, wewe unajua akaunti ya Simba ina kiasi gani? Unajua mishahara wachezaji wanalipwaje? Unajua hela za usajiri zinalipwa kutoka wapi? Kwanini watz kila kitu tunakiwekea dhana mbaya. Mbona huulizi wala hutaki upewe ushahidi wa jinsi pesa zako ulizochanga zinavyotumika?
 
Mashabiki oya oya wasikusumbue akili zao zimefungwa na mwekezaji feki
Kumbe afadhali umeshajulikana kua we ni wa chura.
Jamani tuacheni na simba yetu, yani ajabu ni kwamba jirani unayajua zaidi ya kwa jirani yako( kwanza uyajui sema unajifanya unajua) kuliko ya nyumbani kwako.
Shugulikieni kwanza matatizo ya nyumbani kwenu.
Cha mwisho mnatakiwa mjue kua hizo njama zenu za kuigawa simba zimeshajulikana ko wala hamtusumbui.
Tukutane msimu ujai
 
We Kama kweli ni mwana michezo. Tokea Mo awe karibu na Simba sc. Haujayaona mafanikio yake. We ulitaka tufanane na Yanga Sc au Ndanda? Sasa tuambie wewe nan anafaaa kuchukua Simba na ndani ya miaka 2 tuwe na mafanikio kama ya kucheza Champions League na kufikia hatua ya Robo fainali. TUWE WAVUMILIVU
 
Hahahaa....... Simba ni mali ya MO na mkewe!
 
Wewe poyoyo ungekua kwenye kamati yoyote ungekua na lakuongea sasa vyanzo kutoka clouds fm wale jamaa hawana hata mapenzi na simba na wewe ukalibeba ukaja nalo hapa
 
Issue ni ushindi na kutuondolea kuwa na mapresha kama ya Vyura, hayo mengine ni yako!
 
Kwani Mzee Hamisi Kilomoni anasemaje?
Wengine wote hao magumashi. Siku hizi hata Bi. Hindu kanyamazishwa. Hela kweli shetani.
 
Mo kweli Mungu anakuona. Ulikuwa unawapeleka ukumbi wa Nyerere kufanya mkutano. Mbumbumbu wakiwa wanashangaa ukumbi, vitu vinapitishwa. Baada ya mkutano, ni pilau na biriyani.
 
Juzi simba mlikuwa mnalia ukata wa kutisha sasa hivi club ina perform vizuri mnachonga, mwafrica hata umpe figo yako atalalamika kwanini hujampa figo zote
Huyu kaandikiwa tu aje kuleta zengwe JF.. Sidhani kama hata interest ya mpira anayo..
 
Wewe poyoyo ungekua kwenye kamati yoyote ungekua na lakuongea sasa vyanzo kutoka clouds fm wale jamaa hawana hata mapenzi na simba na wewe ukalibeba ukaja nalo hapa
Umesema kweli, Clouds fm kila jambo wanalolifanya Simba wao baya, wataliletea uzushi na majungu. Kama vile wanatumiwa au wanachuki binafsi na Simba. Hatutaki wasiikosoe Simba ila wawe fair and constructive.
 
Wewe ndo huna ufahamu na mleta mada mwenzio, hivi mil 250 inaweza kutosha kujenga uwanja wa kisasa wa kufanyia mazoezi.
Pili kabla ujapiga domo nenda saizi bunju uone kinachoendelea
Mkuu unapoteza nguvu zako bure kubishana na watu wanaolelewa na mashemeji zao hata bajet ya chakula hajui asubuhi utamsikia shemej dawa ya mswaki imeisha mamaeh.
 
Mtaje huyo mjumbe ka kweli una uhakika,
Mwanaume usiwe mbeya na muongo hadi shetani anakushangaa.
Kwenye thread yako umesema nyie waelewa mnajua kila kitu saizi unasema kuna mjumbe wa bodi analalamika.
Mkuu uyo kwao tandale saa kumi na mbili asubuhi yupo kijiweni hawezi kuwa na akili hata ya kuvukia barabara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…