MUSOMA MJINI: Matokeo ya kwanza kutoka NEC yaliyothibitishwa: Nyerere afufuka, jumla ya kura zilizopigwa 79,527, matokeo ya Chadema kura halali 36,240 Vicent Nyerere kiboko 21,355,57% Vedatus Ccm 14,022, mustapha 253 cuf, Dp ya Mtikila Ndege Nyakisesa ,kura 53 ,tabu said nccr Mageuzi kura 16 sawa na 0.05% Nataniel Mshana ambaye ni msimamizi wa Uchaguzi amemtangaza mtoto uyu wa nyerere kupeperusha bendera ya msoma ndani ya Chadema. Musoma mjini by george malato Itv. Nb: vicent nyerere ni mtoto wa mzee kiboko Nyerere ambaye ni mtoto wa mwisho kwa mama maria nyerere. Nawasilisha!