Elections 2010 Kweli Morogoro wamelala....

Naskia kule Ulanga wanakataa kivuko hewa cha Kikwete... Kwa kuwa kitasababisha Majambazi kuwavamia... Duuuh
 
Jamani Msituseme sana Morogoro. Tuna sababu ya msingi ya kuwa nyuma...
 
Jamani tusiwalaumu wakiona maeneo mengine yatakavyokuwa na wao watabadilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…