RASCO BOY JF-Expert Member Joined Jul 29, 2018 Posts 428 Reaction score 485 Aug 27, 2018 #1 Yaani unacheza nyumbani then unajaza viungo winga yaani unacheza soka la kane ya kale kwa kweli Manchester United mtapata tabu sana.......kwa style hii Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
Yaani unacheza nyumbani then unajaza viungo winga yaani unacheza soka la kane ya kale kwa kweli Manchester United mtapata tabu sana.......kwa style hii Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Aug 27, 2018 #2 wapewe kipigo cha umbwa cow cow
Eminem jr JF-Expert Member Joined May 21, 2018 Posts 2,003 Reaction score 4,584 Aug 27, 2018 #3 huu uzi ungeupeleka kwenye Jukwaa la sport Afu ukautupia kwenye uzi wa man u ungependeza zaid!!