Ivi kweli msuva analudi bongo au geresha tu madai yanaweza kumuondoa moroco ipi timu itakayo mfaa Kati ya izi mbili Simba angetufaa Sana kwenye mashindano ya kimataifa

*Wachambuzi wa mchongo mchongo tu
*Wadhamini wa ligi wa mchongo
*Hata tetesi nazo zimeanza kuwa za kimchongomchongo
*Tukimbilie wapi mwaka huu kuepuka haya mambo ya michongomichongo?