Jana ndio kwa mara ya kwanza ningeona ajabu la kumi na moja la farao kama liver angemfunga madrid kutokana na sababu hizi hapa
1) madrid kawatoa mabingwa wa ligi mbalimbali kama psg,juve,na buyern tofauti na vilabu alivokutana navyo liver kama porto,man city, na roma
2)madrid anakikosi kipana sana kwa kumaanisha kila sub itakayoingia inaweza kuleta effect ambapo kwa liver ni kinyume
3)liver wamekamilika mbele sana ambapo upande wa midfielder na defence ni wabovu tofauti na madrid ambao wenyewe kila idara wapo vizuri japo wana mapungufu madogo madogo nao
4) liver wazuri dakika 45 za mwanzo kipindi cha pili sio wazuri sana tofauti na madrid ambaye yy dakika za lala salama sio mtu mzuri kabisa
5) kikosi cha madrid kimecheza fainali nyingi za uefa bila kugawanyika yaani team haijachenji so wanauzoefu sana tofauti na liver ambao kuna ingizo jipya la wachezaji kibao