Kweli nahisi nililogwa nahisi alinikaanga kama haya mambo yapo kweli

Kweli nahisi nililogwa nahisi alinikaanga kama haya mambo yapo kweli

Kwani mbona mnasema alikuwa anamuektia jamani, kwani ma baa maids mnadhani hawana mioyo? Pamoja na kupuyanga kwao kuna mahali kama binadamu nao huwa wanapenda na wanaumia mioyo. Hata hivyo sio ma baa maids wote vicheche
 
Back
Top Bottom