Kweli nchi hii ni ya wanasiasa.

kombo mzalendo

Senior Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
118
Reaction score
11
HABARINI WOTE.
Hapa ndipo akili pamoja na ufahamu wangu unaniambia kua TANZANIA YETU watu wengi(na maanisha wanasiasa, asasi za kiserikali na asasi binafsi na wakiwemo hao wanaojiita watetezi wa haki za binadamu pamoja na viongozi wa dini)kwa kitendo hiki cha wanafunzi kukosa mikopo kwa ajili ya elimu ya juu lakini watu wapo kimya napata picha kua hata wanasiasa hupenda kujifanya wanatetea haki pale panapokua na maslahi kwa upande wao.namaanisha kua jambo hili ungekuta lina maslahi kwa wanasiasa au taasisi fulani fulani ungeshaanza kusikia matamko mbalimbali hapa ndipo ninapoamini msemo usemao
MCHUMA MAJANGA HULA NA WAKWAO.
NAWASILISHA.
 
Halafu mkiambiwa achaneni na vyama vinawatumia huwa mnatukana!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…