Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,841
- 5,218
Huu ndo ukweli wenyewe mapimbi mengi yaliooa ukiyauliza oya nyie vichogo mbona mnatufosi tuingie mtegoni.Hawana point zaidi ya kukutisha.Kwa kawaida watu waliooa na kuteswa na ndoa huwa na maneno mazuri kama haya ili vijana waingie kwenye ndoa wateseke, ngoma iwe droo.
Mimi niliyebobea kwenye masuala ya saikolojia ya binadamu nazifahamu hii mbinu haswa!
Hao watu wanataka mwanamme ambaye ana kila kitu ,ukimpelekea moto wa kutosha halafu ukawa hauna hela ,mwenye hela atakugongea.Itakuwa labda alikuwa hampelekei moto inavyotakiwa, wengine wanafikiri labda ndoa ni kuvaa suti na shera.
Tutakufatilia kwa ukaribuNipo hapa nimekunja zangu nne, nakula ugali niliopikiwa na mke wangu.
Mlio kosea kuoa, sasa hivi mnakula vyakula vilivyopikwa na dada wa kazi.
Wanao kataa ndoa, sasa hivi wanashindia mahindi ya kuchoma, vyakula vya magengeni, na kujipikilisha.
Kweli, ndoa ni tamu.
Tutakufatilia kwa ukaribuUkweli mkuu ata mimi mke wangu mama amina kashaniandalia wali nyama ndoh namalizia hapa mkuu
Sio kweli. Men sometime needs free time alone to think properly.Walikuwa wanafanya hivyo kwa sababu kulikuwa hakuna manukato na vipodozi
Tunakupa muda mkuu,,,hata yule jamaa yng ambaye kwa sasa ameparalize mguu na mkono alikuwa anapendwa sana na mkewe tena zaidi yako,Nipo hapa nimekunja zangu nne, nakula ugali niliopikiwa na mke wangu.
Mlio kosea kuoa, sasa hivi mnakula vyakula vilivyopikwa na dada wa kazi.
Wanao kataa ndoa, sasa hivi wanashindia mahindi ya kuchoma, vyakula vya magengeni, na kujipikilisha.
Kweli, ndoa ni tamu.
hakika mkuu,,,,Chakula kizuri ni kile kinachopikwa na mkeo, huku mkila mkiwa mnacheka kwa pamoja.