X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,605
- 1,843
Kijana mmoja alikuwa anapenda sana kutazama picha za ngono. Siku moja wakati anatizama alisahau kufunga mlango kama kawaida yake... Mara kwa ghafla mamake akaingia chumbani. Katika kujitetea akamwambia mamake
"Mama angalia vile Wamarikani wanavyo wafanya wanawake wa Vietnam... kweli ni haki hii!?"
"Mama angalia vile Wamarikani wanavyo wafanya wanawake wa Vietnam... kweli ni haki hii!?"