Kweli ni mmekula mama na mtoto

Kweli ni mmekula mama na mtoto

Mapesastan

Member
Joined
Aug 18, 2018
Posts
18
Reaction score
6
Mwaka 2012 nilikuwa nina demu.tunapenda lakini alikuwa kicheche.kuna Siku alitoroka nyumbani kwao.nikapata simu kutoka kwa mama yake anaulizia kama mtoto wake yuko kwangu ni nikajibu sijamuona kama week.mida mama yake akaja sehemu ninayo fanyakazi akaniomba tukamtafute mitaani kukamtafuta mbaka mida ya jioni.tukiwa tunarudi mtaani kwetu..mama MTU akaniuliza ni kupe zawadi ngani Sikujibu.tena akaniuliza mtoto wake no mtamu.nikatulia akaniambia nikukupa utaweza so ndio mwisho simalizii
 
Sijaelewa chochote hapo na ni kama unavyofikiria basi hapo ulikutana na familia ya kimalaya
 
Back
Top Bottom