Kweli nimeamini bongo kuna wachawi.

Kweli nimeamini bongo kuna wachawi.

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,497
Reaction score
4,775
Yani watu baada ya kugundua tu kuwa wameanza kushikwa pabaya na wachimba mafuta,bila ya haya wazee wa kimila au timu ya fundi wale wapiga ngoma si wakatuma mizimu yao ikazima umeme.
kuona haitoshi wazee kimila toka ufipa wakatuma kombora lao likashusha mvua.
sasa kama mnajiamini na kwao mkaloge.
 
Karibu mzee wa kulalamika lalamika
 
Mkuu hizi ni figisu zimechezwa hapa hapa kweupe. Sasa kule wataenda kuipata pata. Mwarabu hana uninga huu. Anakumaliza kabla hata ya game ukifika uwanjani unaenda kukamilisha ratiba.
kumbe kiswahili bado ni tatizo kwa jamii ya waswahili
 
Back
Top Bottom