Kweli nimeamini mashabiki wananguvu kwenye mziki

Fan base ya kiba bongo ni kubwa sana. ..
si kweli...labda uongeze kidogo kuwa fan base ya kiba ni kubwa kwa wabongo wanafiki wenye kutumia mitandao ya kijamii!ila sio bongo kwa ujumla wake,ukitaka kuamini hili fanya utafiti mitaani utagundua kitu,kuna kundi kubwa saana mitaani ambalo ni teenagers wasiotumia mitandao ya kijamii ama kwa kutojua matumizi yake au kutokuwa na supportive devices,lkn ni mashabiki wakubwa wa chibu kuliko ali,pia kuna kundi kubwa sana la wamama/wadada ambao hata nini mitandao ya kijamii hawajui zaidi ya tv n redio lkn ni fans wakubwa sana wa chibu kuliko ali,bila kusahau kundi la watoto ambao kwa sasa ukienda kuwaambia waimbe japo kipande kidogo cha "je utanipenda"uckute wakamaliza wimbo mzima,lkn hao hao waambie wakuimbie "nagharamia" ucshangae wakakuuliza ndo nini iko?
Hapo hatujaongelea vijijini/mikoani uko ambako image ya kiba ilishafutika tayari,na ilhali chibu anakimbiza. don't overrate him please!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…