Kweli nimeamini uzuri wa mwanamke sio urembo, sio sura na pia sio tabia

Kweli nimeamini uzuri wa mwanamke sio urembo, sio sura na pia sio tabia

sexologist

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
2,276
Reaction score
976
Haya wadau.

Katika pita pita yangu mwisho wa mwaka, nikampata shemeji yenu (mchepuko) ni mzuri balaa, mtoto wa tajiri, elimu masters level.. Makazi ni kwa matajiri Capripoint Mwanza, baba mfanyabiashara.

Story story akajaa.

Jana siku ya miadi kwa ajili ya kufanya ka'project.

Jamani... Nilishindwa kuendelea na project pamoja na mawazo yote kuhamishia kwa Leah ili maziwa yatoke. Papuchi maji ya kutosha, smell kwa ukaribu.

Hapana nilishindwa asee, Ikabidi nimwambie nimebanwa ngiri.

Wakuu uzuri wa mwanamke ni papuchi.
 
Yan watoke kanisani waje kujadili papuchi?? U can't be serious

kwan papuchi inatatizo gani ikijadiliwa? Hicho si kiungo kama vilivyo vingne kama macho pua, na vingne vingi..
 
Mungu akupi kila kitu. Kila mtu na mtwae. Wapo watakaokuwa wanafurahia kuwa nae kwa hali hiyo hiyo. Ila usafi kwa wanawake wengi ni shida kidogo.
 
Tatizo pia linaweza kuwa maumbile madogo sana ya Mwanaume,wanawake huwa wana staha,hawawezi kukueleza!!
 
mmmmh

na uzuri wa mwanaume ni gegedo?

Uzuri wa MWANAUME POCHI bibi! Kitu cha wallet! Mi mwanaume akisema nimekupendea tabia zako sijui nimeona tutaendana eeeeeeeeeeewwwwwwwwww! DEAL BREAKER KABISAAAAA! Na possibility yeyote ya papuchi na ieliminate. Naona hapo ni mwendo wa kukopwa tu.:eek2::eek2::eek2::eek2:. Wanaume hawajui magic words "NIMEKUPENDA ULIVYO NATAKA NIKUBORESHEE MAISHA MPAKA WATU WOTE WASHIKE ADABU ZAO ZIWASHIKE UKIPITA MAHALI WANASEMA DEMU WA FLANI" Hii gia hakuna mwanamke atakae chomoa.
 
hapo ndo huwa siwaelewi asee.. Ngoja watoke kanisani.. Wajibu

Mkuu, kuna mambo ungenfanyia huyo demu angekupenda daima na kutokukusahau. Hilo litakuwa tatizo lake na excuse uliyotoa yey kakusoma kuwa umempotezea kiroho safi.
 
Back
Top Bottom