Kweli nimeamini watu vyuma vimekaza ila hawataki kukubaliana na hali

antanarivo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2018
Posts
450
Reaction score
883
Yaani dah kipindi Cha nyuma ilikuwa ukiweka tangazo la kuuza kitu hapa JF hata nusu saa haipiti kitu kinachukuliwa

Lakini saivi hali imekuwa tofauti [emoji23][emoji23]

Mimi niliweka tangazo la kuuza desktop hapa thread kama mbili lakini mpaka saivi naongea Kuna thread Ina makumi ya viewers ila hakuna hata aliyeulizia bei [emoji23] jamani mnataka nani anunue Sasa

Nina changamoto wakuu mwenye pesa ya chap anisaidie kabla ya kesho jua kuzama

Desktop Iko hali nzuri ,na speed kubwa sana bei ya mwisho 360k
 
Je umefanya utafiti na kuona hiyo pc wengine wanauza bei gani?
  • Mfano kwa wauzaji wa PC mtaa wa msimbazi.
  • wauzaji wa pc pale machinga complex?
Bei yaweza kuwa ni kikwazo, sababu desktop zinapatikana kirahisi na kwa bei nafuu zaidi ya hiyo bei yako.
 
Labda inategemeana na mahitaji mkuu..

Watumiaji wa desktop wamepunguzwa na smartphone, pia na laptops
Ukiwa na matumizi ya kawaida laptop ni nzuri zaidi, ukihitaji desktop kwa games lazima itabidi iwe na dedicated graphic card, so inabidi ulenge soko/mahitaji mi naona awamu hii watu biashara atleast zinaenda
 
Kununua kitu mkononi siku hizi ni hatari,chawezakuwa cha wizi. Halafu labda kwa bei hiyo mtu awezapata laptop used Kariakoo
 
Wizi upo mkuu sikatai lakini hii desktop yangu na kuhusu bei kupata laptop hata kwa 150k unapata inategemea specifications za hio pc
 
Yaani dah kipindi Cha nyuma ilikuwa ukiweka tangazo la kuuza kitu hapa JF hata nusu saa haipiti kitu kinachukuliwa

Lakini saivi hali imekuwa tofauti [emoji23][emoji23]

Mimi niliweka tangazo la kuuza desktop hapa thread kama mbili lakini mpaka saivi naongea Kuna thread Ina makumi ya viewers ila hakuna hata aliyeulizia bei [emoji23] jamani mnataka nani anunue Sasa

Nina changamoto wakuu mwenye pesa ya chap anisaidie kabla ya kesho jua kuzama

Desktop Iko hali nzuri ,na speed kubwa sana bei ya mwisho 360k
Tia sponsored Facebook. Tusiishi kwa kukariri
 
Uzi hauna hata pic moja au ndio hizo emoji unauza
 
picha mkuu
Hii hapa mkuuView attachment 2394976
aaaP.JPG
 
Yaani dah kipindi Cha nyuma ilikuwa ukiweka tangazo la kuuza kitu hapa JF hata nusu saa haipiti kitu kinachukuliwa

Lakini saivi hali imekuwa tofauti [emoji23][emoji23]

Mimi niliweka tangazo la kuuza desktop hapa thread kama mbili lakini mpaka saivi naongea Kuna thread Ina makumi ya viewers ila hakuna hata aliyeulizia bei [emoji23] jamani mnataka nani anunue Sasa

Nina changamoto wakuu mwenye pesa ya chap anisaidie kabla ya kesho jua kuzama

Desktop Iko hali nzuri ,na speed kubwa sana bei ya mwisho 360k
Ina memory ndogo sana, shusha bei nikupunguzie machungu. Nipigie picha kila upande unitumie kwa inbobo.
 
Back
Top Bottom