antanarivo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 450
- 883
Soma paragraph ya pili mwishoni ,Usiseme twafa sema nafwa. Futa kauli yako kwnz
Je umefanya utafiti na kuona hiyo pc wengine wanauza bei gani?Desktop Iko hali nzuri ,na speed kubwa sana bei ya mwisho 360k
Bei mpaka ngapi mkuuShusha bei uone.
laki mbili.Bei mpaka ngapi mkuu
Wizi upo mkuu sikatai lakini hii desktop yangu na kuhusu bei kupata laptop hata kwa 150k unapata inategemea specifications za hio pcKununua kitu mkononi siku hizi ni hatari,chawezakuwa cha wizi. Halafu labda kwa bei hiyo mtu awezapata laptop used Kariakoo
300k naachia mkuulaki mbili.
Tia sponsored Facebook. Tusiishi kwa kukaririYaani dah kipindi Cha nyuma ilikuwa ukiweka tangazo la kuuza kitu hapa JF hata nusu saa haipiti kitu kinachukuliwa
Lakini saivi hali imekuwa tofauti [emoji23][emoji23]
Mimi niliweka tangazo la kuuza desktop hapa thread kama mbili lakini mpaka saivi naongea Kuna thread Ina makumi ya viewers ila hakuna hata aliyeulizia bei [emoji23] jamani mnataka nani anunue Sasa
Nina changamoto wakuu mwenye pesa ya chap anisaidie kabla ya kesho jua kuzama
Desktop Iko hali nzuri ,na speed kubwa sana bei ya mwisho 360k
ROM NGAPI
Ina memory ndogo sana, shusha bei nikupunguzie machungu. Nipigie picha kila upande unitumie kwa inbobo.Yaani dah kipindi Cha nyuma ilikuwa ukiweka tangazo la kuuza kitu hapa JF hata nusu saa haipiti kitu kinachukuliwa
Lakini saivi hali imekuwa tofauti [emoji23][emoji23]
Mimi niliweka tangazo la kuuza desktop hapa thread kama mbili lakini mpaka saivi naongea Kuna thread Ina makumi ya viewers ila hakuna hata aliyeulizia bei [emoji23] jamani mnataka nani anunue Sasa
Nina changamoto wakuu mwenye pesa ya chap anisaidie kabla ya kesho jua kuzama
Desktop Iko hali nzuri ,na speed kubwa sana bei ya mwisho 360k
HDD ziko mbili 500 na 250 jumla 750gbROM NGAPI