antanarivo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 450
- 883
- Thread starter
-
- #21
Kwamba uwezo wa desktop unaangalia memory mkuu unataka memory ngapi nikuongezee[emoji23][emoji23]Ina memory ndogo sana, shusha bei nikupunguzie machungu. Nipigie picha kila upande unitumie kwa inbobo.
Desktop ya kupeleka wapi!Yaani dah kipindi Cha nyuma ilikuwa ukiweka tangazo la kuuza kitu hapa JF hata nusu saa haipiti kitu kinachukuliwa
Lakini saivi hali imekuwa tofauti
Mimi niliweka tangazo la kuuza desktop hapa thread kama mbili lakini mpaka saivi naongea Kuna thread Ina makumi ya viewers ila hakuna hata aliyeulizia beijamani mnataka nani anunue Sasa
Nina changamoto wakuu mwenye pesa ya chap anisaidie kabla ya kesho jua kuzama
Desktop Iko hali nzuri ,na speed kubwa sana bei ya mwisho 360k
Picha hio mkuuIna memory ndogo sana, shusha bei nikupunguzie machungu. Nipigie picha kila upande unitumie kwa inbobo.
Rudi kwenye sense mkuuDesktop ya kupeleka wapi!
Cc. antanarivoKununua kitu mkononi siku hizi ni hatari,chawezakuwa cha wizi. Halafu labda kwa bei hiyo mtu awezapata laptop used Kariakoo
Akisema kwa bei hio anaweza kupata laptop used Yuko sahihi ndo maana Kuna bei kuanzia 100000 pia anaweza pata laptop hata desktop kwa 130000 zipo anapata issue ni unataka kitu Cha NAMNA gani , kuhusu kasoro Haina kasoro yoyote maana desktop Haina kujificha mtu kabla hajachukua anaangalia ,
Yah si ndo njia sahihi ya kumkamata mwizi, ivi nyie mnadhani vitu vya wizi watu saivi wanauza ovyo? Kitu pekee Cha wizi kinachouzwa kizima ni ngombe ,lakini hizi electronics watu wanauza spare, yaani mmekomalia Cha wizi wizi ebu tuonyesheni vya wizi vikoje, yaani hizi kauli huwezi zipata kwa mtu aliyepo mjini anatafuta maisha Nina wasiwasi na mahali unakotoka mkuu ushakaririshwaKununua kitu mkononi siku hizi ni hatari,chawezakuwa cha wizi. Halafu labda kwa bei hiyo mtu awezapata laptop used Kariakoo
Vp umeshaiuza mkuu?Yah si ndo njia sahihi ya kumkamata mwizi, ivi nyie mnadhani vitu vya wizi watu saivi wanauza ovyo? Kitu pekee Cha wizi kinachouzwa kizima ni ngombe ,lakini hizi electronics watu wanauza spare, yaani mmekomalia Cha wizi wizi ebu tuonyesheni vya wizi vikoje, yaani hizi kauli huwezi zipata kwa mtu aliyepo mjini anatafuta maisha Nina wasiwasi na mahali unakotoka mkuu ushakaririshwa
Ni pm no yakoPicha hio mkuu View attachment 2395124
Ukiona yuko kimya, basi ujue ameshauza! Na hela ya kuuzia ameshamaliza.Vp umeshaiuza mkuu?