Kweli nimeamini

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,058
Asilimia 90 za thread ndani ya jukwaa hili zinamhusisha Diamond kwa njia moja au nyingine..

Asanteni Watanzania kwa kukubali kilichokuwa Bora na kwa wale wanaomkataa wanajikuta wakimkubali Indirectly kwa kuandika Habari zake kila saa kama sio kila siku.

Nilikuwa sina mpango wa kuandika hii ila Nimejionea Kuwa Diamond ndiye Msanii anayetajwa zaidi Jf. nimeamini Kiba mwisho leaders Jf kila mtu Diamond.

Sponsered by Maishabilaunafkihayaendi.com
 
jamani yaishe kkaaah
bado mawenge tuuuu!!!
 
Hhha hata magazeti ni Domo tu acha kabisa Mungu tu ndio atamshusha sio hawa binaadam
 
Wimbo wa diamond naoupenda kuliko zote ni ule wa KESHO na hamna tena mwingine na ndiyo upo kwenye sim yangu
 
Wimbo wa diamond naoupenda kuliko zote ni ule wa KESHO na hamna tena mwingine na ndiyo upo kwenye sim yangu

Hata huo unatosha..ila ukimuona ni balaa
 
Kwahiyo anatajwa peke yake kwenye hizo threads.

Huyo mtoa mada hana akili nzuri, Diamond anaongelewa sana kwa tukio la Aibu na fedheha alilopata jumamosi la kuzomewa, kuna kipindi apo nyuma jukwaa lilikuwa limejaa habari ya FROLA MBASHA NA GWAJIMA yani ilikuwa kila uzi utakuta habar HOT jukwaani ni kuhusu wao, kwa hiyo huyo mtoa mada atupishe apa atutolee ushabiki mavi wa bwana ake, ofcourse lazima aongelewe kwa kuwa ni staa na ukijumlisha tukio la juzi ni aibu kwa staa kama yeye, so lazima watu waongee mpaka wachoke, nadhani ni kawaida kwa staa yeyote kuongelewa sana baada ya tukio lolote kubwa kumtokea, kama ilivyokuwa kwa LUCY KOMBA apo awali na ndoa yake na mzungu
 
Wimbo wa diamond naoupenda kuliko zote ni ule wa KESHO na hamna tena mwingine na ndiyo upo kwenye sim yangu

Mi wimbo wa ndomo ninaoupenda ni my number one, tena video yake ndo inanikosha zaidi wale warembo wanavyocheza, that was my best of all the time from ndomo japokuwa simkubali
 
mti wenye matunda ndo unaopigwa mawe huwezi rushia mti usio na kitu
 
Wengi hatumpendi diamondi, ila kiukweli ni habari nyingne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…