Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Gea unataka ufanye ya Ebitoke?Iceman 3D kweli umenifanyia hiviii,unamsifia mwanamke mwingine nbele yangu hata kama mim ni mbaya jamani,,basi na mim ntaenda kufanyiwa upasuaji niwe kama vera sidika kwa nyuma,yaan hata kama ukisema nifanyiwe upasuaji niwe kama paka ntakuwa tu sasa mim nafanyaje sasa nimependa mwenyewe hakuna namna,umeniumiza sana leoo
Daby kweli mim Ice navyompenda hivyo ananifanyia hivyo mi najiua haki tena mim mapenzi basi
Kamsifia Vera sidika eti alivyokua sasa mzuri na amempenda haswa,nimejisikia vibayaGea unataka ufanye ya Ebitoke?
Ice kamsifia njiani, jukwaani au pm ? Tuwekane wazi kwanza
Kweli mnanifanyia hivi nilikuambia unisaidie umenitelekeza sio,,[emoji24][emoji24][emoji24]
LetaNina sumu hapa, dakika moja unakufa!! Nikuletee!???
Unasumu gani wew... ya kuua tuzike au ya kumuulia kitandani?Nina sumu hapa, dakika moja unakufa!! Nikuletee!???
Alete zote natakaUnasumu gani wew... ya kuua tuzike au ya kumuulia kitandani?
Unasumu gani wew... ya kuua tuzike au ya kumuulia kitandani?
Mimi nakusaidia yale ya kule sio haya. [emoji23][emoji23]Kweli mnanifanyia hivi nilikuambia unisaidie umenitelekeza sio,,[emoji24][emoji24][emoji24]
Sitakii nataka unisaidie poteMimi nakusaidia yale ya kule sio haya. [emoji23][emoji23]
DuuhYa kuua na kuzika, inakausha mpaka mifupa!!!
Njoo kwqngu nikusindikize tukazichukueAlete zote nataka
Hapa kukusaidia labda nikuibe sasa.Sitakii nataka unisaidie pote
Tukazichukue kwa naniDuuh
Sumu yako nooma.
Njoo kwqngu nikusindikize tukazichukue
Kumbe we mwiziiHapa kukusaidia labda nikuibe sasa.
Soma haraka nifute kabla ice hajaja
Nataka nijifunzie kwako.Kumbe we mwizii