[emoji3][emoji3]Hapana ana babu yake mzaa babu
Mnoma huyooo hata mshana
Akasome
Alaf alishakua mjukuu wako
Kumbe
[Color= yellow]Triple A[/color]
Asante shunie yashaisha eehePole jamaan Gea kwa nini lakini ice kakufanyia hivyo angemsifia kimya kimya tu
Kweli kabisa na mwenye chongo haioniunajua hata sie ambao hatuli kiti moto tunawashangaa wanaokula kwamba wanaipendea nini, maana tunabaki kusifia nyama ya ng'ombe kumbe ya kiti moto hatuijui!
Babu acha utani wewe unapenda utani kila saa
Hahahahahaaah
anakuwa kama Makonda bhana
ila hatuwez huyo
Natania tu [emoji23][emoji23][emoji23],,,twende nikakupe uji basiUnaniita babu?
Ngoja sasa nimwage kila kitu...ugali...mboga...maji...maziwa
Je ivuga anajua hili kweli?[emoji3][emoji3]
[emoji86]
Twende zetu achana nao hawa wahenga[emoji86]
hahahahaMimi fix nyingi ukiona cha zaidi wangu utakuwa wa kusifiwa.
Nikiona nimepuyanga nitataja wahenga wote anielewe kabla hajaanzisha.
Nipo lovie nimekujibuhii...naomba uende pm
Nimemuonea bamdogo inauma ujueKwahiyo mamy na wewe umemwonea huruma Gea?
Ahahha sawa kama yameishaAsante shunie yashaisha eehe
aaaahHahahaha
iceman nataka tuwekeane sumu kidogo tupendane mpaka watu wapate kisukari
Umenionea wap leo ukhuty,Pole jamaan Gea kwa nini lakini ice kakufanyia hivyo angemsifia kimya kimya tu
Mie ndio nimeingia sasa hivi kaka angu labda ukamtafute mmuUmenionea wap leo ukhuty,
Dada shunje
[Color= yellow]Triple A[/color]
Hii ni counter kama za ujerumani.hahahaha
mimi mwenzio nimepigwa suprise attack
hata nlikuwa sja jiandaa yaan ndugu yangu
Haya sawa twende sasa ,,nishakusamehe kabisa ,tusameheaneeaaaah
tukiwekeana sumu ni hatari kwa afya
tupendane tuu hiv hivi mpaka dunia ishangae
hahahaSitampa maana tutakupoteza mazima,na sisi Madrid tutakua tumepoteza shabiki..!!!