Jestina twende polepole.........................amuulize kwanza kabla ya yote.....................na huo ndiyo kutendeana ubinadamu...................
Usifanye maamuzi ya haraka! Kwnye maelezo yako cjaona kama umemuuliza huyo bi shost kuhusu hilo swala sasa utafanyaje maamuzi kabla ya kusikiliza upande wa pili? What if kama ni m2 2 anawaharibia mahusiano yenu?busara muhimu hapa
mh! pishi limeshaiva mjukuu wangu! wasubiri lipoe wakati wajua ulichopika ni supu ya mbwa utainywa baridi wewe?!! teh teh teh!! mjukuu unataka suruhisho la kushea mapenzi au? teh teh! wajukuu wangu bwana, eti umuulize mwizi ameiba kweli?!! teh teh te!!!!!Jestina twende polepole.........................amuulize kwanza kabla ya yote.....................na huo ndiyo kutendeana ubinadamu...................
Wana jf,naombeni ushauri nina miaka mitatu katika mapenzi na huyu binti lakini hapo jana kuna njemba imenipigia simu na kusema kuwa imekuta meseji kwenye simu ya mpenzi wake ambaye ndiye mpenzi wangu mimi kwamba namwandikia meseji za mapenzi huyo binti,nilivuta pumzi na kumsikiliza vizuri,nikamuuliza wameanza lini uhusiano njemba ikaniambia wameanza mwaka jana mwezi wa kwanza so wana almost mwaka mmoja.na hapo hapo mimi nina uhusiano nae wa miaka mitatu.akanieleza habali zote za kuhusu huyo mpenzi wangu hadi lini ame kuwa nae na mda ambao mara ya mwisho amekuja kwangu kwa kumwambia huyo njemba eti anaenda kusalimia kaka ake amekuja toka mkoa.kumbe yupo kwangu.sasa nikamwambia huyo njemba kwamba yeye ndo ameingilia mapenzi yangu na huyo binti yeye mwaka mmoja mi mitatu,kweli sikuamini kama kweli huyu binti anaweza akanifanyia hivyo ilibidi nianze kuhusisha na matukio ya nyuma nikaona kweli kuna utofauti ya kwamba amekuwa aki nicheat.naombeni ushauri hapa nifanye nini na binti nampenda..
Babu nimekusikia,mi naona wanangu, hoja mnazo tetea ni kutaka kwanza asikilize upande wa pili, sawa kabisa wajukuu zangu, hili alishalitambua mwenyewe na alilifanyia uchunguzi mfano mabadiliko kwani alishasema he was being cheating by huyo wake kwa kuanzia kipindi cha mabadiliko yake ya kupm wanaume wawili kama wapenzi wake, mazingira kishapewa, kaliona hilo mwenyewe bado akaulize tena kwamba anaibiwa?!!! teh teh teh!! tatizo mnapenda kuangalia filamu za ki...go, nyingi ya hizo hazina maadili sawa na hivo napendekeza muwe mnanisikiliza mimi babu yenu enzi na bibi yenu. teh teh teh!!