Kweli Nyani Haoni...... Wachina wanaofanya kazi TZ,KE,UG

Kafrican

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
7,251
Reaction score
7,037
Kwa mda mrefu tumekua tukitukanwa na kuchekwa na majirani zetu kutoka kusini eti kila project huku Kenya inapewa wachina ambao wanatumia wafanyakiza wa kutoka kwao hata wafagiaji na waokotaji taka ni wachina. Data kutoka National Bureau of Statistics of China inonyesha Ke na TZ zote ziko na wafanyikazi wengi tu kutoka China, Tofauti kati yaKe na Tz ni 449 kwa Kenya. Hii inamaanisha Ukiondoa mradi wa SGR Kenya ambao ndo unaongoza kwa kuleta Wachina, Tanzania ndo itakua na wafanyikazi wengi zaidi...... 499 ni tofauti ndogo sana! hamfai kua mnacheka cheka kana kwamba wchina hawajajaaa huko bongoland..

-------------------------------------------------

Kampala — Uganda employs more Chinese than all other East African countries apart from Kenya and Tanzania.
In the last nine years, the country has formally employed a total of 24,044 Chinese, mainly in the construction, transport, communication, ICT and energy sectors, among others.
The findings are contained in the China Statistical Yearbook, National Bureau of Statistics of China and the China Annual Bulletin of Statistics of Contracted Projects, among others.
The number of Chinese employed in Uganda, the data shows, have been rising, which signals the growing relationship between the two countries.
Kenya and Tanzania, which have a gross employment of 40,113 and 39,614 Chinese, respectively in the period beat Uganda in employing Chinese in East Africa.
Uganda comes in third, followed by Rwanda, which employed 8,301 in the period, while South Sudan employed 7,863 over the period.
Burundi employed only 3,589 in the period between 2009 and 2017, according to the data which was published by the China-Africa Research Initiative, under the John Hopkins University, in last month.
The data suggests increasing China's influence in the region and Africa at large, which has surged in the last two decades.
The growing influence has seen China's income from its operations in Africa increase with Uganda grossing more than $8.7b in the last 20 years.
Kenya, which employs the biggest number of Chinese in the region, registered the highest amount for annual revenues earned by Chinese companies grossing to about $20b in 20 years. Chinese companies in Tanzania earned $12.7b in annual gross revenue for the period between 2017 and 1997.
The country has also been advancing huge loans to East African member states with Kenya receiving the largest chunk of $9.8b in the period between 2000 and 2017. Uganda received $2.9b while Tanzania received $2.3b in the same period.

Loans from China to Uganda have mostly acted as incentive to create employment for Chinese. The loans are partly conditioned to hiring Chinese companies that bring in some of its own employees.
High profile projects financed by China in Uganda including Karuma, Isimba dam and Kampala Entebbe Expressway among others, have been some of the gateways from Chinese employment in Uganda.
The projects, most of which started in 2013, could explain the increase in Chinese employees in Uganda since 2013.

Growing numbers

Uganda has since 2014 seen rapid growth in the entry of Chinese expatriates with increase of large scale projects funded by Chinese companies. In 2015, when Isimba dam commenced, the number of Chinese employees surged to 4,473. The number has since been increasing reaching 4,428 in 2016 and 4,686 in 2017.

----------------------------------------------------------------------------------------------------

Mseamo wa Siku: Nyani haoni Kundule!!!
 
Umefuka tu moshi wa kuni mbichi... The point is, Kenya Kuna wafanyakazi wachina wengi kuliko walioko Tanzania...
 
Umefuka tu moshi wa kuni mbichi... The point is, Kenya Kuna wafanyakazi wachina wengi kuliko walioko Tanzania...
Kenya ina wafanyikazi 40,113 and na Tanzania ina wafanyikazi 39,614 kutoka China,Tofauti ni 1.25% Hapo tuko kwa gora moja hata unangalie kivipi, Angalau Uganda ndo wanaweza kusema kitu wakiwa na wafanyikazi 24,044 kutoka China ambayo ni karibia nusu ya TZ na Ke
 
Hiyo 40 na hiyo 39 ipi kubwa?
 
Ukigawa kwa idadi ya wananchi wa taifa zima unapata ngapi?
 
Population ya kenya ni ndogo kuliko ya Tanzania.
China imeanza kuwa na uhusiano na Tanzania tangu miaka ya 1950s.
Kenya ndiyo imeanza juzi juzi tu kuwa na uhusiano.
Wakenya mnajipendekeza sana.
 
Population ya kenya ni ndogo kuliko ya Tanzania.
China imeanza kuwa na uhusiano na Tanzania tangu miaka ya 1950s.
Kenya ndiyo imeanza juzi juzi tu kuwa na uhusiano.
Wakenya mnajipendekeza sana.

Kabisa tunajipendekeza sana ili tuuze Tumbaku huko Malawi
 
Population ya kenya ni ndogo kuliko ya Tanzania.
China imeanza kuwa na uhusiano na Tanzania tangu miaka ya 1950s.
Kenya ndiyo imeanza juzi juzi tu kuwa na uhusiano.
Wakenya mnajipendekeza sana.

Uko sahihi.
Nakumbuka wakati nikiwa kijana mdogo kwenye miaka ya '80 niliwahi tembelea sehemu moja inaitwa Kiwira huko Mbeya. Niliona waChina wengi wakifanya KAZI ya mgodi huko. Miaka mingi baadaye nikaonana na jamaa mmoja ni mchanganyiko wa China na Swahili yuko Mbeya mjini anafanya shughuli zake. Pia anaoneka ni mwenyeji mpaka anaongea kinyachusa. Nikauliza huyu ni nani? Wakanijibu huyu jamaa kwao ni kiwira, ni uzao wa waChina waliokuja kufanya kazi za mgodini.
Hivyo hilo unalosema ni sahihi. Tanzania na China wana uhusiano wa muda mrefu.
 
Sijaona wachina wakiuza mahindi choma ama chipsi mayai Dar kama hali ilivyo nairobi..
Lakini hiyo ndio hali ya karne hii..Ukienda china utapata wakikuyu wengi humo wakijitafutia mtaji wao..
 
Wachina kule Tanzania wameteka hadi hata wapo kwenye CCM, hebu ona wanavaa hata kofia za chama

Sijaona wachina wakiuza mahindi choma ama chipsi mayai Dar kama hali ilivyo nairobi..
Lakini hiyo ndio hali ya karne hii..Ukienda china utapata wakikuyu wengi humo wakijitafutia mtaji wao..
Oh kumbe huko Kenya wachina wamejiajiri hata hawajaajiliwa kama ilivyo hapa bongo. Maana yake bongo wanachukua ajira za wazawa lakini Kenya hawana madhara hats kama ni wengi kiasi gani una maana hivyo sio?
 
Vile nafahamu sheria za Tanzania, hauwezi pata kibali cha kazi kama hauna taaluma..Kenya ni tofauti sana, vilaza wote wachina walioshidwa na masomo wamejaa humu, hao ndio mamalishe na babalishe
 
Population ya kenya ni ndogo kuliko ya Tanzania.
China imeanza kuwa na uhusiano na Tanzania tangu miaka ya 1950s.
Kenya ndiyo imeanza juzi juzi tu kuwa na uhusiano.
Wakenya mnajipendekeza sana.
Kwahivyo mkiwa na Uhusiano mzuri ndo wafanyikazi wa kichina wajae huko????? Mbona wasingewafundisha utaalam huo wanaoujua ili Watanzania wawe wanajua kufanya hio kazi????
 
Kwahivyo mkiwa na Uhusiano mzuri ndo wafanyikazi wa kichina wajae huko????? Mbona wasingewafundisha utaalam huo wanaoujua ili Watanzania wawe wanajua kufanya hio kazi????
Pwahahaha!!! Siwezi kujadili na punguwani kama wewe ambaye hatumii hata common sense.
Tanzania inajiendesha yenyewe tangu ipate uhuru.

Hatujawahi kumpigia magoti yeyote. We do businesses with anybody kwa manufaa ya nchi yetu.
Nyie endeleeni kupigania Kenyatta business and his empire.
 
Na deni la Ug ni kubwa kushinda Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…