PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
- Thread starter
-
- #21
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata mimi nilikuwa namwona kama anautoto flani.kwa kweli,braza hatimae ametusua,yani nw anamuonekano wa mtu serios kbs tofauti na kipindi kile nlikuwa namuona katuni tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umaskini mbaya sana
Umaskini mbaya sana
Ohooooo!!!Kiboko ya mabishoooooo nae kawa mzungu.....
Duuuuh ...ndukiHapo wale mademu wa tall handsome and black lazma chupi zilowane tu...najua wanakuja soon!
mijemba hata msiba uwe wa kuatua moyo kiasi gani huoni chozi wanakausha tu..hawajui ni fursa wanafungia nje.[emoji3] [emoji3]Achana na pesa bwana wewe
Halafu pia kumbe kulia lia inasaidia kwenye maisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha aise haya maisha bwana unaweza ukakaa.mahal ukacheka tumijemba hata msiba uwe wa kuatua moyo kiasi gani huoni chozi wanakausha tu..hawajui ni fursa wanafungia nje.[emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha aise haya maisha bwana unaweza ukakaa.mahal ukacheka tu
saiv ukienda kumwambia aise ulikua unalia uwanjani atakukatalia kabisa