Kweli pesa inatakatisha,huu ndio muonekano wa sasa wa STIVE(shabiki wa yanga)

Huo ni mfano halisi wa siku watu wakiacha CCM na nguo zao maana inawatesa sana huo ni mfano halisi kwamba maisha haya hizi sio sura zetu kabisa ni CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha yana changamoto Sana.
 
huyu si ndo yule walisema amekufa kwenye ajali singida walipoenda kwenye mambo ya ccm? au sio huyo?
 
Jamaa kawa handsome boy.

Hata Dimond zamani alikuwa Domo siku hizi eti Lips denda
 
huyu si ndo yule walisema amekufa kwenye ajali singida walipoenda kwenye mambo ya ccm? au sio huyo?
Siyo huyu mkuu marehemu alikuwa anajipaka masizi meusi,hapo pichani ni marehemu akiwa na Stive

-Ndumilakuwili-
 
nasikia steve kulialia tangu mwaka 2016 ni mwajiriwa rasmi wa azamtv....alipewa ajira na mtoto wa mzee bakharesa,yusuf bakharesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…