Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
Mwaka huu inabidi nisishabikie Arsenal maana ni uginjwa wa moyo labda kama atanunua wachezaji zaidi ya wawili wa nguvu vinginevyo acha nibaki na simba yangu mpaka hapo baadae.....23 Agosti 2011 13:14
?
Manchester City wamekubaliana na Arsenal kumsajili kiungo Samir Nasri. Nasri sasa anaelekea mjini Manchester kwa ajili ya vipimo vya afya.
Nasri alifanya mazoezi na Arsenal siku ya Jumanne asubuhi kujiandaa na mchezo wa Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya Udinese, utakaochezwa Jumatano. Hata hivyo jina lake liliondolewa kwenye orodha ya wachezaji.
Kiungo huyo kutoka Ufaransa anakwenda Manchester pia kukamilisha mkataba wake ambao unadhaniwa kuwa na thamani ya pauni milioni 25.
Meneja wa City, Roberto Mancini alisema siku ya Jumapili kuwa anataka kumsajili Nasri ndani ya kipindi cha saa 48.
hata tukimtaka messi atakuja we are city bwana..
arsenal nao wantaka kumchukua KAKA ssa huyo NASRI hadi huruma sijui plae Man City atacheza namaba ya nani?hebu akakkkalie benchi hadi apate ugonjwa wa kuuma ******
arsenal nao wantaka kumchukua KAKA ssa huyo NASRI hadi huruma sijui plae Man City atacheza namaba ya nani?hebu akakkkalie benchi hadi apate ugonjwa wa kuuma ******
LMAO!!! Mlishindwa kumchukua Rooney na Kaka ndio mtamweza Messi sio kila mchezaji anacheza kwa sababu ya hela kuwa realistic kidogo.hata tukimtaka messi atakuja we are city bwana..