Kweli pombe nomaaa...........

Kweli pombe nomaaa...........

great G

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2016
Posts
290
Reaction score
290
Jana kuna chaliii alikunywa k vant na kuvuta bang kwa mara ya kwanza yaani alitupa shidaa kinomaaa...baada ya kulewaaa....alitoka nduki kinomaaaaa....ikawa kazi ni kumkimbizaaaa....tuuu.....kiukweli kila mtu ana stori yake kuhusu mara ya kwanza kulewa au kufanya jambooo ila hiii ya huyu mtu janaaaa nlicheka sanaaa
 
Mkuu bila picha ni hainogi.
 
Tuliwahi kunywa mizinga, tukashindwa kurudi bwenini tulilala njiani, mida ya kumi na moja kibaridi kinapiga, pombe imekata tuko road badala ya kuwahi class tukarud tena bar
 
Inatokea sana...

Kuna msanii moja wa kike ( ) kwenye kumpa offer...

Yeye ni mzoefu kwenye pombe, ila siku hiyo sijui ilikuwaje mpaka nguo akawa anaziona nzito akawa anataka abebewe nguo alizozivaa mwenyewe mwili...

Cc: mahondaw
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
huwa sinywi pombe ila nampenda dogo mmoja nikiwa na mkwanja huwa namtafuta anywe.

yeye akilewa ana fyonza muda wote, alafu anacheka sana
 
Back
Top Bottom