Mkuu bila picha ni hainogi.Jana kuna chaliii alikunywa k vant na kuvuta bang kwa mara ya kwanza yaani alitupa shidaa kinomaaa...baada ya kulewaaa....alitoka nduki kinomaaaaa....ikawa kazi ni kumkimbizaaaa....tuuu.....kiukweli kila mtu ana stori yake kuhusu mara ya kwanza kulewa au kufanya jambooo ila hiii ya huyu mtu janaaaa nlicheka sanaaa
picha hamnaaa kaka aseeeeMkuu bila picha ni hainogi.