Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Vitu vingine havina hata haja ya kupost..Nasikiliza kampeni za Mgombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan akiwa jijini Mwanza. Kuna mgombea wa Buchosa akiwa anatetea ugali wake nimemsikia akimpamba sana Mama Samia na kufikia kusema anastahili tuzo ya Nobel.
Vipi mnakubaliana naye?
View attachment 3484971
Tumbo na umaarufu ni vitu vibaya sana..Nasikiliza kampeni za Mgombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan akiwa jijini Mwanza. Kuna mgombea wa Buchosa akiwa anatetea ugali wake nimemsikia akimpamba sana Mama Samia na kufikia kusema anastahili tuzo ya Nobel.
Vipi mnakubaliana naye?
View attachment 3484971
Mtu anayeteswa hachekelei hivyo jamaniNdiyo. Mama Anastahili kabisa. Ni kwenye Uongozi au Amani kama akina Obama?
Oktoba Tunatiki ✔✔✔✔
View attachment 3484972
Hahaha duhErick Shigongo anaongea kama ameingiliwa kinyume na maumbile.
Tuulize maoni ya watoto na ndugu wengine wa Ali Kibao na pia tuulize maoni ya mke wa Mdude Nyangali na ndugu zake wengine nao tupate maoni yao kwani nao pia ni Watanzania.Nasikiliza kampeni za Mgombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan akiwa jijini Mwanza. Kuna mgombea wa Buchosa akiwa anatetea ugali wake nimemsikia akimpamba sana Mama Samia na kufikia kusema anastahili tuzo ya Nobel.
Vipi mnakubaliana naye?
View attachment 3484971