Kweli sheria inamruhusu Rais kulivunja Bunge iwapo wabunge watakaa kuipitisha bajeti bungeni? Nini maana ya Bunge sasa?

Kweli sheria inamruhusu Rais kulivunja Bunge iwapo wabunge watakaa kuipitisha bajeti bungeni? Nini maana ya Bunge sasa?

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
Hili ndilo biti walopigwa wabunge na Spika Ndugai. Akawatahadharisha kuwa watapoteza nafasi zao za uwakilishi kama wangekataa bajeti inayoruhusu uwepo wa tozo za kihuni.

Je, hekima gani ilitumika katika uwekaji wa sheria hiyo?
 
Back
Top Bottom