Wakusoma 12 JF-Expert Member Joined Jul 3, 2017 Posts 4,035 Reaction score 11,462 Jul 19, 2021 #1 Hili ndilo biti walopigwa wabunge na Spika Ndugai. Akawatahadharisha kuwa watapoteza nafasi zao za uwakilishi kama wangekataa bajeti inayoruhusu uwepo wa tozo za kihuni. Je, hekima gani ilitumika katika uwekaji wa sheria hiyo?
Hili ndilo biti walopigwa wabunge na Spika Ndugai. Akawatahadharisha kuwa watapoteza nafasi zao za uwakilishi kama wangekataa bajeti inayoruhusu uwepo wa tozo za kihuni. Je, hekima gani ilitumika katika uwekaji wa sheria hiyo?
kigogo warioba JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 6,048 Reaction score 9,398 Jul 19, 2021 #2 Sidhani kama alikua anaamanisha hizo sheria tu alikua anaongelea kwa bajeti nzima kwa ujumla
othuman dan fodio JF-Expert Member Joined Jan 2, 2018 Posts 6,850 Reaction score 11,033 Jul 23, 2021 #3 Yule ni mgonjwa na apuuzwe tu.