kweli si watanzania tuna sheria ya ardhi?

kweli si watanzania tuna sheria ya ardhi?

mussavila

New Member
Joined
May 22, 2013
Posts
3
Reaction score
0
jamani wana jf ,nisaidieni mwaka jana tulivunjiwa vibanda vyetu huku maeneo ya tegeta wazo (nakalekwa) hakukuwa na taarifa yeyote juu ya uvunjwaji huo .walikuja watu wa msalaba mwekundu kutusaidia ,mwaka huu wanatuambia tuendeleze vile viwanja ,jamani nashindwa kuelewa hivi hii sheria ya ardhi imekaa vizuri kweli jamani au ndio ubabaishaji ?
 
Back
Top Bottom