Kweli sikio la kufa, halisikii dawa...Kenya ishakua too much!

Kweli sikio la kufa, halisikii dawa...Kenya ishakua too much!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,253
Wakuu,

Serikali ya Jubilee sasa wana-bore kishenzi na hii ishu. Juzi juzi tu walikutana kule Addis Ababa eti
Au inaleta kero kua kesi za Uhuruto zisipositishwa kule ICC basi Africa inajitoa ICC. Hio sote tunajua haikufua
dafu.

..Afu juzi wakenda kule UN wakapigwa chini tena.

..Sasa leo hii wanataka wawarudie wahuni wanaojiita viongozi waafrika mara ya pili. Hii nayo pia itashindikana tu.

Kinachoniudhi ni kwamba wanajua wazi hizi kesi haziendi popote na bado wanaunguza kodi ya
walalahoi na huu upuzi. Uhuru alisema this is a personal matter that he will deal with at a personal
level. Sasa hii zegere yote ni ya nini tena?

Hebu mama Amina katulie umsalie mtume, achana na hawa wahuni waliouwa watu afu leo wanataka kujifanya
hawatambui.

=====================================================================

AU to push for Rome Statute amendments, says Amina

amina-181113-main.jpg


Amina Mohammed

By Kobia Mwirichia

African Union (AU) is headed for the assembly of State Parties of the Rome Statute meeting later in the month to present its position on the Kenyan ICC cases after UNSC snubbed its deferral request.

Foreign Affairs Cabinet Secretary Amina Mohamed said the AU will push for amendment of the Rome Statutes to provide for immunity from prosecution to sitting heads of state and government when the group meets in The Hague from 20th November2013.

Amb. Mohamed said African states came together for the common good of the member countries and would meet to discuss the way forward after rejection of its petition over Kenya ICC cases.

“The decision by some permanent members of the UN Security Council to abstain from voting on AU request for deferral of ICC cases facing President Uhuru Kenyatta and Deputy President William Ruto was a disappointment,” she said.

The Cabinet Secretary was speaking to the press in Kuwait ahead of the 3rd Afro/Arab Summit. She added that Kenya “will continue to engage constructively” on the ICC matter to its logical conclusion.

“We are going to the State Parties meeting at The Hague. We will present the AU proposal for amendment of the Rome statute and are optimistic of a positive consideration,” she said.

Amb Mohamed said AU was confident of garnering the support of a two-thirds majority of the states’ parties necessary to effect the amendment in the interest of peace and reconciliation in the country.

On the Summit, the Cabinet Secretary said Africa and the Arab world are coming together as traditional partners and neighbours to renew the existing collaboration on diverse spheres of development.

“The relationship between Africa and the Arab world can be traced from the 17th century when Arab traders frequented the East African coast for trade and investment,” she said.

Top on the Summit agenda, she said, are discussions to establish Africa-Arab Technical and Coordination Committee on Migration to help protect migrant workers.

The over 65 Heads of State and delegations will also discuss collaboration on food security, research, capacity building and decision making mechanisms to ensure viable resolutions are made and implemented.

“Before the next joint summit in Uganda in 2015, the collaboration between Africa and the Arab countries should produce something tangible to show to the world,” she said.

Standard Digital News - Kenya : AU to push for Rome Statute amendments, says Amina
 
wakenya ni viumbe wanaochekesha sana hapa duniani. ni comedian sana hawa jamaa.
 
Kwani wakisikiliza kesi zao kuna ubaya gani? tukiwaendekeza hawa viongozi wa Africa, ipo siku kina Hitler watarudi na hawatashikika kwani watakuwa madarakani
 
Hivi Africa hakuna mambo ya maana ya kujadili zaidi ya hili suala la kesi za Uhuru na Ruto? Kwa nini wasikutane kujadili umaskini, njaa, magonjwa, vita, ugaidi, na matatizo mengine yanayowasumbua raia wa Afrika na mbinu za kuyaondoa? Hakuna Rais au makamu wa Rais wa Kenya ambaye ameshawahi shitakiwa ICC. Hawa watu wawili walishtakiwa kama individuals na siyo kama institution. Hivi hilo nalo ni gumu sana kwa viongozi wa Afrika kuliona?
 
Beside being gorgeous she also has impeccable credentials and impressive resume augmented with vast experience in international affairs, making her a seasoned diplomat.

She is definitely an asset for Kenya. I hope she is not misused for cheap political gain.
 
Beside being gorgeous she also has impeccable credentials and impressive resume augmented with vast experience in international affairs, making her a seasoned diplomat.
not so fast if u watched BBC Hardtalk u should have realized how empty headed she is as far as her Uhuruto defence approach is concerned!
 
Nilijua wakenya watapata tabu sana na hizi kesi. Nina hakika wangejua wasinjechagua hawa jamaa. Ikulu mahali patakatifu, haiitaji mtu anayeandamwa na kesi hata kama ni ya kuhisi tu. Ona sasa wanavyopata tabu
 
not so fast if u watched BBC Hardtalk u should have realized how empty headed she is as far as her Uhuruto defence approach is concerned!

You are being unfair to her Uhuruto defense notwithstanding.
 
Back
Top Bottom