D
Deleted member 485868
Guest
Yani siku ya leo kwangu ipo tu ovyoovyo..moja haikai mbili haikai tatu haisogei..
Uvivu sasa uwiii
Nipo nipo tu kama fwala
Vipi wenzangu mmeshawahi kupatwa na hali hii?? Na mliwezaje kuishinda!!??
Niwatakie mchana mwema.
Uvivu sasa uwiii
Nipo nipo tu kama fwala
Vipi wenzangu mmeshawahi kupatwa na hali hii?? Na mliwezaje kuishinda!!??
Niwatakie mchana mwema.