D
Asante..yani naona kila nalogusa haligusiki atiiPOLE..hua zinatokea
Ahsante wifi...naona masaa hayaendi kabisa yaniPole wifi,.inatokea sana tuu siku unaiona ndeeeefuu na unaweza usioge wala kupiga mswaki siku nzima..
Tena ukiwa alone ndio kuzidi,...naona kakangu leo hayupo eee[emoji4]Ahsante wifi...naona masaa hayaendi kabisa yani
Haha..uko sawia kabisa wiii..nipo alone acha tu..kaka ako ameenda kwenye shughuli zakeTena ukiwa alone ndio kuzidi,...naona kakangu leo hayupo eee[emoji4]
Eti eeh!!Hakuna siku mbaya.
Uzuri au ubaya wa siku unategemea kwa 90% mawazo au fikra zako.
Naona unamchimba mdogo mdogo mtoto wa watu.Tena ukiwa alone ndio kuzidi,...naona kakangu leo hayupo eee[emoji4]
Anhaa,.naelewa wii,itapita leo usijali,Haha..uko sawia kabisa wiii..nipo alone acha tu..kaka ako ameenda kwenye shughuli zake
YeahEti eeh!!
Aah,wifi wangu jamani si vibaya kujua[emoji4]Naona unamchimba mdogo mdogo mtoto wa watu.
hahahahaha pampula at his levelDawa ya hyo hali ni pombe tu hakuna lingine
Kwakweli wii..ipite tu..nafuu itarudi kaka ako akiwahi kurejeaAnhaa,.naelewa wii,itapita leo usijali,
InshaAllah,awahi kurudi kwakweli akufanyie wepesi,.Kwakweli wii..ipite tu..nafuu itarudi kaka ako akiwahi kurejea
Bas sawa cicyAah,wifi wangu jamani si vibaya kujua[emoji4]