Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Oooyyoooo[emoji119][emoji119]Sana wanaume tunapenda sana mnywe vitu tofauti,,sio kila siku vijuice vyenu hvyo vi savannah[emoji23] [emoji23]
Mimi mwanamke akiwaanakunywa nyagi namuheshimu sana[emoji23] [emoji23]
Hahaha yule ni wa wine tu,,akimaliza moja kwisha habari kashalewaAiseeee...kama namuona joliejolie anavyokamatiaga nyagi
Ndio maisha tuliyochagua mamiii,,[emoji23] [emoji23] [emoji482]hahahahah aiseee !dah nacheeeeka
Aaah,basi ngoja nikatafute hata don nyati,nipate kuzungumza uzuri,..stor itanoga tena kweli kwasababu mda huu ndio ipo kwenye peak kama hit song
Ongeza kwanza bieree nikusimulie vzr..[emoji3]
hahahaha hyo don nyati dah!Aaah,basi ngoja nikatafute hata don nyati,nipate kuzungumza uzuri,..
Hahahaha balaaa hasa uwe na kampani kama ya shunie hivi na hazard...yay acha kabisaa[emoji56]Haaahhha mumu inoekana unapenda gambe hatari...jinywee mwaya !
Nimekukumbusha eeeh[emoji23][emoji23]hahahaha hyo don nyati dah!
Hata hvyo au kitoko na burudani[emoji23]Aaah,basi ngoja nikatafute hata don nyati,nipate kuzungumza uzuri,..
Kupanga ni kuchagua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maisha tuliyochagua mamiii,,[emoji23] [emoji23] [emoji482]
hatareeeeNimekukumbusha eeeh[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] huyo kama mimiHahaha yule ni wa wine tu,,akimaliza moja kwisha habari kashalewa
Hyo ni balaaa...ukinywa leo hulewi leo unalewa kesho yake,hyo pombe hapana[emoji23] [emoji23]hahahaha hyo don nyati dah!
Wifi nimekuvulia kofiaHahahaha balaaa hasa uwe na kampani kama ya shunie hivi na hazard...yay acha kabisaa[emoji56]
Hahahaha balaaa hasa uwe na kampani kama ya shunie hivi na hazard...yay acha kabisaa[emoji56]
Oooyyyooo niachie rivellaaaa[emoji23]Hata hvyo au kitoko na burudani[emoji23] View attachment 789129
Si pacha wako[emoji23][emoji23][emoji23] huyo kama mimi
Karibu kambini mbiti...[emoji4]mnaweza kesha!hakuna kuboreka yaan
Tatizo Vlad hanywi kakangu yule dahh!!!Wifi nimekuvulia kofia