D
Deleted member 485868
Guest
- Thread starter
-
- #201
Haha..hayo kakuachia dada akeTatizo Vlad hanywi kakangu yule dahh!!!
mi hua naingia kambin na kutoka!nw nimetoka !ila VISHAWISHI NI VINGI KM HIVI!lolKaribu kambini mbiti...[emoji4]
Ila umemficha wapi jamani?Si pacha wako
Hahhaha ye anapenda fanta orenji tuu na maji[emoji23][emoji23][emoji23]Haha..hayo kakuachia dada ake
Kuna vitu anafanya mapka aje kuwa free tena kwa mda mwingi labda mwez ujao hviIla umemficha wapi jamani?
Ahahahah ni balaaa,ila sio mbaya kwa afya,.halafu kambi popote we tuambie tukufuate uliko..[emoji3]mi hua naingia kambin na kutoka!nw nimetoka !ila VISHAWISHI NI VINGI KM HIVI!lol
Ooooh! Msalimie jamani..yna4 imemmis ileileKuna vitu anafanya mapka aje kuwa free tena kwa mda mwingi labda mwez ujao hvi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa mamiii,karibu tuteketeza maini na figoOooyyyooo niachie rivellaaaa[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama umelenga vile wifi ake..Hahhaha ye anapenda fanta orenji tuu na maji[emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahahah ni balaaa,ila sio mbaya kwa afya,.halafu kambi popote we tuambie tukufuate uliko..[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona kuteketezaaa uwii[emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa mamiii,karibu tuteketeza maini na figo
Ukuje bhana tuimbe wimbo wetu wa nation[emoji16][emoji16]hhahaha nilikua huko ujue!dah TARUDI SOON!
Haaahahahaha ngoja swaum ipite!woooozaaaaaUkuje bhana tuimbe wimbo wetu wa nation[emoji16][emoji16]
Wooozzeeerrr woozzeeerrr[emoji119]Haaahahahaha ngoja swaum ipite!woooozaaaaa
Hahahaha balaaa hasa uwe na kampani kama ya shunie hivi na hazard...yay acha kabisaa[emoji56]
Woooyoooooooo halafu mm nikilewa jamani nachangamkaje sasa woiiiimnaweza kesha!hakuna kuboreka yaan
Kambini ndio wapi huko jamaniKaribu kambini mbiti...[emoji4]
hhhahhaha !aiseeWoooyoooooooo halafu mm nikilewa jamani nachangamkaje sasa woiiii
Gambe tamu jamani [emoji16][emoji16][emoji16] kuna mda nataka kuokoka kabisa nikifikilia tu heineken ya baridi inafuka moshi nguvu zinaniisha jamanihhhahhaha !aisee
Haaaaaaaaaaahhhh shoga usiidanganye kuokoka at tht age!uongo mtupu!mi hapana !sio mlev wala mnnywaj !ila nikiamua nakuuuuuuuuuuunywaaaaaaa!CHA!na stress za nchi hiiGambe tamu jamani [emoji16][emoji16][emoji16] kuna mda nataka kuokoka kabisa nikifikilia tu heineken ya baridi inafuka moshi nguvu zinaniisha jamani