Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
HahahahhahaSijaolewa mie hazard ebu usinipotezee fursa ujue watu wakashindwa kunifungukia shunie mm nikakosa mume
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we nisingizie tu hivyohvyo, mimi nione pm yako alafu niuchune? Kwa moyo wangu ungelia paaaSema kweli mshipa mm sijawahi kukutumia pm jamani we unanichunia kama masuper star wa jf wasiojibu pm
Hahahahhaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hivi itokee siku nijisikie tu kuja pm kwako itakuwaje eti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we nisingizie tu hivyohvyo, mimi nione pm yako alafu niuchune? Kwa moyo wangu ungelia paaa
Karudi kijijini ulime kudanga kipaji..!Yani siku ya leo kwangu ipo tu ovyoovyo..moja haikai mbili haikai tatu haisogei..
Uvivu sasa uwiii
Nipo nipo tu kama fwala
Vipi wenzangu mmeshawahi kupatwa na hali hii?? Na mliwezaje kuishinda!!??
Niwatakie mchana mwema.
We fala kweliKarudi kijijini ulime kudanga kipaji..!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nitakupokea na mokono miwili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hivi itokee siku nijisikie tu kuna pm kwako itakuwaje eti
Hivi kuna uzi ushaanzishwa wakuwaponda ambao hawajaolewa?? Sijawahi kuuona[emoji23] [emoji23]Unakoelekea unataka kunipotezea fursa jamani na uzee huh nikose wa kuniwowa jamani kila siku mnatutukana humu
Unajiona kama fyala...?!Yani siku ya leo kwangu ipo tu ovyoovyo..moja haikai mbili haikai tatu haisogei..
Uvivu sasa uwiii
Nipo nipo tu kama fwala
Vipi wenzangu mmeshawahi kupatwa na hali hii?? Na mliwezaje kuishinda!!??
Niwatakie mchana mwema.
Hahahah..! Unakuja mjini bila mipango, utatumika mno.[emoji36][emoji36][emoji3][emoji3][emoji137][emoji137]We fala kweli
Hahaha...niko kwenye mood nzuri mnoHahahah..! Unakuja mjini bila mipango, utatumika mno.[emoji36][emoji36][emoji3][emoji3][emoji137][emoji137]
Woyoooooo jiandae nakuja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nitakupokea na mokono miwili
Hivi kuna uzi ushaanzishwa wakuwaponda ambao hawajaolewa?? Sijawahi kuuona[emoji23] [emoji23]
Ukikosa kabisa si unaweka tangazo hata la kuuza ice cream nyumban
Kwaheri mimi siposipo tu, ngoja niendelee kuchonga zangu dolali hapa[emoji137][emoji137][emoji137]Hahaha...niko kwenye mood nzuri mno
Karibu sana uje uniambie kwanini unanifanyia roho mbaya kiasi hichoWoyoooooo jiandae nakuja
Karibu sana uje uniambie kwanini unanifanyia roho mbaya kiasi hicho
Sawa ...kazi njemaKwaheri mimi siposipo tu, ngoja niendelee kuchonga zangu dolali hapa[emoji137][emoji137][emoji137]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we unaona kuninyima utamu wako ni jambo dogo sanaRoho mbaya ipiii jamani ambayo nakufanyia mshipa wake dada
Hahahah...! Njoo nikutoe kimasomaso, maana naona Asprine walikupora..!Ndio vibibi gagula sisi wenye miaka 30 kama haujaolewa huolewi tena
Hii habari ni kweli ShemejiNdio vibibi gagula sisi wenye miaka 30 kama haujaolewa huolewi tena