Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Akikujibu tutaenda ifata wote na vyupa vyetu vya balimi mkononi[emoji15][emoji15][emoji15] Shemeji dawa gani hiyo unatoa
Shemeji dawa ya kufanya siku zifanane.
Mmmh[emoji23][emoji23]Shemeji dawa ya kufanya siku zifanane.
Ndio utuwekee sasa picha jamani tujioneeKina tomaso..hamuamini hadi muone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akikujibu tutaenda ifata wote na vyupa vyetu vya balimi mkononi
Switch....y suffering??[emoji23] [emoji23]Ukame tutaumwagilia na ndovu..
Vumilia,miezi 9 sio Mingi mkuu,utashusha EngineYani siku ya leo kwangu ipo tu ovyoovyo..moja haikai mbili haikai tatu haisogei..
Uvivu sasa uwiii
Nipo nipo tu kama fwala
Vipi wenzangu mmeshawahi kupatwa na hali hii?? Na mliwezaje kuishinda!!??
Niwatakie mchana mwema.
Mwanamke anaekunywa pombe nyeupe nampenda sana hahahahaha kuna kitu kinaonhezeka kwenye mwili wake ila nisiri yangu siwez kukitajaagiza bombadier tuje kunywa
Ongeza kwanza bieree nikusimulie vzr..[emoji3]Switch....y suffering??[emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shunie ebu niache ukoNdio utuwekee sasa picha jamani tujionee
Hahahaha..ulijuaje!!Vumilia,miezi 9 sio Mingi mkuu,utashusha Engine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shunie ebu niache uko
Hii kali sasaKunywa tu bia 3
Khaaa...!!Pole wifi,.inatokea sana tuu siku unaiona ndeeeefuu na unaweza usioge wala kupiga mswaki siku nzima..
[emoji23][emoji23][emoji23] isubiriJamani hivi nakuachaje mm bila picha kweli
Kweli,au wine utakuwa poaaaaaHii kali sasa
[emoji8][emoji8][emoji8]Khaaa...!!
Hahaha kunywa baadae bana,ngoja kwanza tuingize ingize chochote kituOngeza kwanza bieree nikusimulie vzr..[emoji3]
Ewaaa... tena unamix balimi na nyagi.Dawa ya hyo hali ni pombe tu hakuna lingine