mchezaji mwenyewe amehojiwa akakiri alimsukuma lkn siyo Sana.Amna kitu mzee utetezi wako mwepesi sana,ukweli ni kwamba kama wanavyobebwa wengine na Simba pia inaweza kubebwa,wapinzani wa Simba wasione kwamba Simba haina uwezo wa kubebwa kama wanavyobebwa wao.
mchezaji alihojiwa kasema alimsukuma lkn si kwa nguvu.Kwenye replay ya Azam jana na clip zao zinaonesha kama jamaa alifunga bila kumsukuma Kapombe,sema swali lina baki kuwa kama ni kweli Kapombe hakusukumwa ile namna alivyoanguka ndio bado inafikirisha.Sema kikubwa Simba kashinda jana hakuna maelezo zaidi ya kusema kabeba point tatu jana
achana na video , fuatilia mahojiano na yule mchezaji wa geita. Alikiri alimsukuma lkn siyo kwa nguvu sana. Alimsukuma kidogo.Umeiona ile video lakini mkuu?
Upo sahihi kabisa mkuu! Mwamuzi alikuwa makini kabisa shida ni Camera ya Tv haikuolionyesha lile tukio vizuri lakini kuna clip hata hapa jukwaani imeshatupiwa inaonyesha vizuri kabisa mfungaji alitenda madhambi kabla ya kufunga lile bao na kuna watu wameshaiona lakini wanatoa povu mpaka vijichembe vya kande vinaruka toka vinywani mwao!Shomari kapombe hawezi kujiangusha kitoto vile!! mchezaji aliyemsukuma amekiri kuwa kweli alimsukuma ila anadai eti hakumsukuma kwa nguvu! DUH!
Waandishi, wachambuzi hata wadau wa mpira wengine ni wapenzi wa SIMBA wamekuwa against mwamuzi na simba!! Kisa wanataka ku- balance ile penalty aliyopewa Yanga dhidi ya Namungo.
Nadhani mada hapa ingekuwa ni kuwahoji Azam TV ambao wanashindwa kuleta picha zinazo onyesha angle nzuri ambazo zingeweza Kuzuia MABEZO na MAKEJELI haya yote toka kwa watu ambao hawaitakii mema SIMBA.
mchezaji aliyemsukuma amekiri kuwa kweli alimsukuma!Shomari kapombe hawezi kujiangusha kitoto vile!! mchezaji aliyemsukuma amekiri kuwa kweli alimsukuma ila anadai eti hakumsukuma kwa nguvu! DUH!
Waandishi, wachambuzi hata wadau wa mpira wengine ni wapenzi wa SIMBA wamekuwa against mwamuzi na simba!! Kisa wanataka ku- balance ile penalty aliyopewa Yanga dhidi ya Namungo.
Nadhani mada hapa ingekuwa ni kuwahoji Azam TV ambao wanashindwa kuleta picha zinazo onyesha angle nzuri ambazo zingeweza Kuzuia MABEZO na MAKEJELI haya yote toka kwa watu ambao hawaitakii mema SIMBA.
Hakuna clip humu inayoonesha mgusano bali watu wameweka tu picha. Ni ngumu kupata clip inayoonesha mgusano kwasababu Azam Tv ndio warushaji wa mechi na replay zao zote zimechukua angle hizo hizo tulizoona na kufanyiwa replay hivyo hivyo. Hakuna video yoyote mitandaoni inayoonesha mgusano wa hao wachezaji wawiliUpo sahihi kabisa mkuu! Mwamuzi alikuwa makini kabisa shida ni Camera ya Tv haikuolionyesha lile tukio vizuri lakini kuna clip hata hapa jukwaani imeshatupiwa inaonyesha vizuri kabisa mfungaji alitenda madhambi kabla ya kufunga lile bao na kuna watu wameshaiona lakini wanatoa povu mpaka vijichembe vya kande vinaruka toka vinywani mwao!
Waarabu wameunga against Mhindi.Naona Kama azam wanaleta utimu ukiangalia clip yao inaonesha Hamna mgusano lakin Mchezaj mwenyew George mpole anasema alimsukuma alafu azam huwa hawaleti zile clip za yanga ambazo n contravasho
Utopolo mko wabishi sana hata mchezaji mwenyewe kakiri kusukuma Kapombe wewe bado unamwaga povu!Hakuna clip humu inayoonesha mgusano bali watu wameweka tu picha. Ni ngumu kupata clip inayoonesha mgusano kwasababu Azam Tv ndio warushaji wa mechi na replay zao zote zimechukua angle hizo hizo tulizoona na kufanyiwa replay hivyo hivyo. Hakuna video yoyote mitandaoni inayoonesha mgusano wa hao wachezaji wawili
MatusiUpo sahihi kabisa mkuu! Mwamuzi alikuwa makini kabisa shida ni Camera ya Tv haikuolionyesha lile tukio vizuri lakini kuna clip hata hapa jukwaani imeshatupiwa inaonyesha vizuri kabisa mfungaji alitenda madhambi kabla ya kufunga lile bao na kuna watu wameshaiona lakini wanatoa povu mpaka vijichembe vya kande vinaruka toka vinywani mwao!
Kwenye mpira mtu akiruka header alaf wew ukamsukuma hata kidogo lazma asogee mbele aangukeachana na video , fuatilia mahojiano na yule mchezaji wa geita. Alikiri alimsukuma lkn siyo kwa nguvu sana. Alimsukuma kidogo.
Hayo ndiyo majibu , mengine yote porojo tu. kapombe alisukumwa.