Kweli Simba inapigwa vita nimeamini

Kwa namna alivyoanguka jana kapombe, ni mtu mwenye matatizo ya akili tu ndo atasema kuwa kajiangusha ..
Alizuga tu ili asionekane kazembea goli likafungwa
 
Utopolo mko wabishi sana hata mchezaji mwenyewe kakiri kusukuma Kapombe wewe bado unamwaga povu!
Unaelewa kilichoandika au unajawa na mahaba ya utimu. Narudia tena hakuna clip ya video inayoonesha kuna physical contact yoyote ile, unazosemea wewe ni picha picha tu. Kama wewe una ushahidi wa video naomba niwekee hapa. Inamaana bila mchezaji mwenyewe kukiri tuzingepata ushahidi mwingine kutoka kwa Azam Tv. Kuna mapungufu upande wa camera za Azam hazichukui matukio katika angle zote
 
mchezaji mwenyewe amehojiwa akakiri alimsukuma lkn siyo Sana.

Sasa unakuja kujamba humu ili nini.
Amekiri wapi? Naomba link tafadhali maana hapa chini huyu jamaa kasema kua alifunga goli likakataliwa huku akiwalaumu waamuzi wa nchii hii akiwaita ni tatizo.
 
Aya mambo unayoongea leo wenzako tuliongea kipind cha usajili tutaonekana hatujui mpira ,ukwel ni kwamba jana wa kupongezwa kwanza ni refa alikua sehem sahihi kuona lile tukio ,lkn apo apo aya matatzo simba wamejitakia wenyewe acha wasumbuke na bado watalia sana msimu huu kuendekeza siasa na maneno ktk mpra madhara yake ndio aya unaona kabisa timu ina shida sehem fulan fulan pia kuna wachezaj wamechoka kubwa zaid mpinzan wako ambae amekosa ubingwa miaka minne amejiimalisha badala na ww utoke ulipo uende juu zaid lkn walitaka kuish kwa mazoea mwsho wake ndio aya kila mechi kwao ngum simba iliitaj wachezaj wanne au watano ambao moja kwa moja wataingia ktk kikos cha kwanza kuanzia bek za pemben kiungo mkabaj ,namba nane na kum pamoja strike wamesajili wachezaj weng lkn viwango sio kama walivyotarajia usajil wa kubahatisha na wa mazoea
 
📌
Amna kitu mzee utetezi wako mwepesi sana,ukweli ni kwamba kama wanavyobebwa wengine na Simba pia inaweza kubebwa,wapinzani wa Simba wasione kwamba Simba haina uwezo wa kubebwa kama wanavyobebwa wao.
 
Wachambuzi wa Bongo wengi ni wafuata upepo wanaangalia upepo unaelekea wapi ndio tatizo lao hilo kingine nimekuwa na wasi wasi na Wachambuzi wa Bongo hasa baada ya wananyoa ndevu zote halafu make up wanapaka mpka kwenye miguu
 
Upo sahihi kiongozi wachezaji wenyewe wanacheza bila intensity.
Shida ni kubwa kuliko kujifariji.
 
Naona Kama azam wanaleta utimu ukiangalia clip yao inaonesha Hamna mgusano lakin Mchezaj mwenyew George mpole anasema alimsukuma alafu azam huwa hawaleti zile clip za yanga ambazo n contravasho
Kama replay inaonyesha hakuna mgusano unataka nini zaidi
 
mchezaji mwenyewe amehojiwa akakiri alimsukuma lkn siyo Sana.

Sasa unakuja kujamba humu ili nini.
Hiyo clip nimeisikiliza afu saizi nimeisahau title yake, inasikitisha sana mchezaji kuchezewa foul mbaya kama ile alafu refa hatoi kadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…