Kweli Simba inapigwa vita nimeamini

Jitulize usajili ni kamari,hata wakina chama walivyokuja mliponda
Wewe acha kujichanganya.Simba msimu huu inawachezaj weng wabovu.Hata usajil mpya.Ni mchezaj gan mpya angeanza kwa perfomance ya wachezaj wa simba wa msimu uliopita?
Ukubali ukatae thimba mbovu.
 
Jitulize usajili ni kamari,hata wakina chama walivyokuja mliponda
acha uongo usajili ni mchakato.Na ndio maana kuna maskauti wa kuwafuatilia wachezaj.Na ndio maana ulaya hakuna majaribio ya mchezaj zaid ya kumpima afya tu.
 
Inonga Baka sio beki kabisa, anakabia macho tu.
Nilipomwona tu kaanza nikajua itakuwa shida.
 
Khaaa! inonga huyuhuyu?? Kma nchi ingekua iko serious tungekua tushakufungulia kesi
Kakimbizwa kidogo tu msuli ukamshika.
Unaelewa sababu ya mchezaji kushikwa na msuli kwenye gemu ?
Inamaanisha mpira una kasi kubwa kuliko uwezo wake wa msuli. Lazima ustuke mazoezi madogo.

Goli la kwanza mfungaji anapiga mbele yake anamwangalia tu.
Unyango angeanza wasingepata goli 2.
Ononga kachomesha sana ukimfuatilia hata gem ya jana.
Goli la kwanza kufungwa kwenye pre-season Morroco alichomesha yeye pia.
Mwepesi sana lazima ajirekebishe.
Mechi na Yanga asianze kabisa ataighalimu timu.
 
acha uongo usajili ni mchakato.Na ndio maana kuna maskauti wa kuwafuatilia wachezaj.Na ndio maana ulaya hakuna majaribio ya mchezaj zaid ya kumpima afya tu.
Huko ulaya hujawaona wachezaji wakiflop pamoja na kwamba wanafanyiwa scouting? Usajili ni kamari na ndio maana akina Torres au Shevchenko walikotoka walikuwa wa moto lakini walipoenda chelsea hamna kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…