Kweli " sometimes politics is unpredictable game " , January, Nape, Ridhiwani na Kigwangala hawako kwenye Baraza la Mawaziri towards 2025!!?

Hao uliowataja wanaweza kurudi ndani ya kundi dakika ya 89 au 90+5.

JPM hatabiriko na hapendi kabisa kutabiriwa. Usishangae hata Makonda, Polepole na Mama Salma Kikwete wakaukwaa Uwaziri
 
Bila kumsahau Mzee wa Kongwa Kazi Ndugai km yake pia inawaka waka......
 
"Nasema hivi nikizingatia " generational succession plan" ya Nchi yetu".
Hiyo ndio nini?
Imeandikwa wapi!?
Iliasisiwa na wakina nani!?
Nani amewahi itumia!?
 
Thanks for reminding us of generational succession lakini umeiweka kana kwamba it is inevitable. Succession ni rahisi uzeeni kwa sababu wako wachache - Waziri Mkuu wa India au wa Japan ni mifano halisi. Tanzania Vijana wako wengi - India ni wengi zaidi - kwa hiyo wako wengi tu hakuna haja ya kutanguliza majina. Kuna UVCCM wazuri tu, kina Bashe, au BAVICHA, kina Katambi.

Ila umekosea mfano wako. Umemtaja kijana Dr Ng'wigulu Nchemba, ex-BoT Economist unadai hajui mens rea. The present Governor at BoT, Dr Luoga, is a senior, almost THE, senior Advocate of the High Court, who never knew anything about the velocity of money. They are both doing just fine.

Kina Ridhwani na Nape bado wapo, Ng^wigulu ndiyo huyo, wewe ngoja muda uje, halijaharibika jambo. Waziri Mkuu wa India Modi kwa mara ya kwanza nilimsikua akichuana Ubunge Gujarat na mtu wa Indira Gandhi nikiwa shule.
 
Ukiondoa Mwigulu hao kina Nape na Makamba wana makandokando ambayo sio sehemu ya successiona plan ya CCM.

Jakaya Kikwete, Lukuvi na wengineo waliandaliwa na Mwalimu Nyerere tangu wakiwa vijana na Kikwete aliongoza Chama kwanza kabla hajapewa cheo serikalini hivyo anayo misingi ya kiongozi aliyepikwa.

Nape na Makamba ujana mwingi vichwani mwao na pia wameshindwa kuificha tamaa yao ya mali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…