Kweli tumeumbwa kuijaza dunia

Kweli tumeumbwa kuijaza dunia

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,690
Mmmmh haya bana

watoto.jpg
 
Kwa nini mweusi na sio mdhungu? think out of the box
Sisi ndo tunaopenda kufuata mambo bila kuuliza maana...
hapo wametii amri bila kuuliza, "Enendeni mkaijaze nchi.." Mwafrika, "Ndiyo BWANA!"..lol (on a light touch.)
 
Sisi ndo tunaopenda kufuata mambo bila kuuliza maana...
hapo wametii amri bila kuuliza, "Enendeni mkaijaze nchi.." Mwafrika, "Ndiyo BWANA!"..lol (on a light touch.)

teh teh kwa hiyo ni kukubali tu teh teh
 
teh....lazima dunia ijae.yaani hawa watakuwa watanzania lazima.
 
teh....lazima dunia ijae.yaani hawa watakuwa watanzania lazima.

Maana wengi hawaelewi maana ya budget, Mkulo akitoka na begi lake mjengoni watu wanauliza, bia imepanda kiasi gani? Mambo ya vyakula walaaaa!!!!!
 
ndo majibu ya 'kumchanvusha mama' kitaalam...!!!iadai ya mapacha haitabiriki... wanaweza toka hata 20...!!

eheheh umenikumbusha mbali mkuu
Mchamvuo ndani
Mchamvuo njee
 
Back
Top Bottom