Tajiri wa upendo OG
Senior Member
- Mar 15, 2020
- 171
- 237
Hivi saido akichukua mpira anakwenda kujiangusha kwa mpinzani ndio kila mechi aanze itabidi kocha ajitafakari kwanzaMkiwa na 'First Eleven' moja Lawama....!
Sasa mna 'First Eleven' Zaidi Moja mnaanzisha Lawama mapemaa...!
Nyie Waja mbona Wazito hivyo..! Hambebeki..!
Amepewa nafasi ukaona ameridhika ?Phiri karidhika sana hajitumi, msimu huu ndo mwisho kwake lazima aombe exit
Kwa kweli suala la kumuweka Benchi Phiri hata Kwenye mechi kama ya Leo linafikirisha na kusikitisha sana,ukichukulia ukweli jinsi alivyotubeba mwaka Jana.Inabidi ifike Sehemu Robertino adhibitiweLicha ya magoli ambayo Jean Baleke amefunga msimu uliopita katika premier league kiuchezaji Mosses Phiri ni mchezaji wa class ya juu zaid kuliko Baleke, Sijui kwanini kocha hataki kumuamin huyu mwamba (Phiri) labda uwanja wa mazoezi hamshawishi kocha lkn sisi mashabiki wa simba balaa la huyu mwamba tunalijua vizuri sana uwezo wake wa kufunga, kukaa na mipira, ni mkubwa kuliko Baleke. Kweli uchawi upo Duniani
Ujue kupitia mazoezi kocha huona juhudi na jitihada zakoAmepewa nafasi ukaona ameridhika ?
Wewe umemuona kua hajitumi kwenye mazoezi mUjue kupitia mazoezi kocha huona juhudi na jitihada zako
Tusubiri mechi ijayo tuone itakuwajeKwa kweli suala la kumuweka Benchi Phiri hata Kwenye mechi kama ya Leo linafikirisha na kusikitisha sana,ukichukulia ukweli jinsi alivyotubeba mwaka Jana.Inabidi ifike Sehemu Robertino adhibitiwe
Hahahah. Watu mmechafukwa. Bocco nikiona anaendelea kupangwa nitachukua break kuiangalia Simba.Huyu chiba angekuwa anaishi korea kaskazini ni wa kunyongwa yeye na vizazi vyake
Kabisa, mambo ya kisenge haya.Hahahah. Watu mmechafukwa. Bocco nikiona anaendelea kupangwa nitachukua break kuiangalia Simba.