Saidoo usimguse ni Mtoto wa Jaribu Tena.Hivi saido akichukua mpira anakwenda kujiangusha kwa mpinzani ndio kila mechi aanze itabidi kocha ajitafakari kwanza
Nikajua ni Mimi tu aisee.........Swala la Moses Phiri kukaa benchi linaniumiza Sana.
Robertnho alipendekeza aachwe but viongozi kina try again wakashupaza shingo sasa mwamba Robertinho anawaonyesha kwamba yeye ndiye anayejua wachezaji aliowataka na sio machaguo ya wakina try again!Licha ya magoli ambayo Jean Baleke amefunga msimu uliopita katika premier league kiuchezaji Mosses Phiri ni mchezaji wa class ya juu zaid kuliko Baleke, Sijui kwanini kocha hataki kumuamin huyu mwamba (Phiri) labda uwanja wa mazoezi hamshawishi kocha lakini sisi mashabiki wa Simba balaa la huyu mwamba tunalijua vizuri sana uwezo wake wa kufunga, kukaa na mipira, ni mkubwa kuliko Baleke. Kweli uchawi upo Duniani
Sidhani kama hili unalosema ni kweli. Nadhani kuna shinikizo kutoka juu kuwachezesha hawa kina Bocco na SaidoRobertnho alipendekeza aachwe but viongozi kina try again wakashupaza shingo sasa mwamba Robertinho anawaonyesha kwamba yeye ndiye anayejua wachezaji aliowataka na sio machaguo ya wakina try again!
unasemaje karidhika umwmuona wapi?Phiri karidhika sana hajitumi, msimu huu ndo mwisho kwake lazima aombe exit
Akuna cha shinikizo hapo kwani issue ya phiri na kocha imeanza leo? Si tokea msimu ulioisha alikuwa anamchunia tu, bocco na saidoo umri umewatupa tiyali awezi kurisk kibarua chake kukumbatia wazee hao na kumuacha phiri nje kuna kitu akipo sawa kati yake kocha, maana kama ni kupona alishapona kitambo na mbaya zaidi wachezaji karibia timu nzima wamecheza yeye katengwa kama mgonjwa wa ukoma!!!Sidhani kama hili unalosema ni kweli. Nadhani kuna shinikizo kutoka juu kuwachezesha hawa kina Bocco na Saido
Sasa unasema nini na mimi nimesemaje? Kama unaona hawezi kurisk kibarua chake kwa kuwapanga wazee, kwa nini sasa anawapanga?Akuna cha shinikizo hapo kwani issue ya phiri na kocha imeanza leo? Si tokea msimu ulioisha alikuwa anamchunia tu, bocco na saidoo umri umewatupa tiyali awezi kurisk kibarua chake kukumbatia wazee hao na kumuacha phiri nje kuna kitu akipo sawa kati yake kocha, maana kama ni kupona alishapona kitambo na mbaya zaidi wachezaji karibia timu nzima wamecheza yeye katengwa kama mgonjwa wa ukoma!!!
Kibu na Saido sijui wanampa nini huyu kocha.Huyu kocha ameshaanza kuzingua mapema
Yani Ntibazonkiza ndio apewe muda zaudi kuliko phiri
Kwamba Bocco ana jitihada kuliko Phiri?Ujue kupitia mazoezi kocha huona juhudi na jitihada zako
Tatizo lenu mnawahi "kufika msh..do" mapema mnooo ilihali ninyi ni wanaume watu wazima[emoji1787][emoji1787]Licha ya magoli ambayo Jean Baleke amefunga msimu uliopita katika premier league kiuchezaji Mosses Phiri ni mchezaji wa class ya juu zaid kuliko Baleke, Sijui kwanini kocha hataki kumuamin huyu mwamba (Phiri) labda uwanja wa mazoezi hamshawishi kocha lakini sisi mashabiki wa Simba balaa la huyu mwamba tunalijua vizuri sana uwezo wake wa kufunga, kukaa na mipira, ni mkubwa kuliko Baleke. Kweli uchawi upo Duniani
M naona aombe tu ata dirisha dogo kiwango chake kinaenda kushuka pale utege naona hawaelewanPhiri karidhika sana hajitumi, msimu huu ndo mwisho kwake lazima aombe exit
Kwani we umemwona kwenye mazoezi hadi kuforce achezeWewe umemuona kua hajitumi kwenye mazoezi m
Hajatubeba Alifanya alichotakiwa kufanya.Kwa kweli suala la kumuweka Benchi Phiri hata Kwenye mechi kama ya Leo linafikirisha na kusikitisha sana,ukichukulia ukweli jinsi alivyotubeba mwaka Jana.Inabidi ifike Sehemu Robertino adhibitiwe
Kwanini unataka Phiri acheze anaenda kuoffer nini?Akuna cha shinikizo hapo kwani issue ya phiri na kocha imeanza leo? Si tokea msimu ulioisha alikuwa anamchunia tu, bocco na saidoo umri umewatupa tiyali awezi kurisk kibarua chake kukumbatia wazee hao na kumuacha phiri nje kuna kitu akipo sawa kati yake kocha, maana kama ni kupona alishapona kitambo na mbaya zaidi wachezaji karibia timu nzima wamecheza yeye katengwa kama mgonjwa wa ukoma!!!
Nikajua ni Mimi tu aisee.........
Yaani mara 100 wamuuze tu akatafute mahala pengine..... kocha anataka kuua career yake ama........
Kiukweli Ina painSwala la Moses Phiri kukaa benchi linaniumiza Sana.
Fungua timu yako muamini Mgunda.Robatinyo hana maisha marefu simba. Kwanza ana chuki sana . Amemchongea mgunda mpaka akachomolewa pale, yan mm ningependa simba wamuamini Juma mgunda na kumpa hichi kikosi tena mgunda kila game alikuwa anampanga Phiri ila hii punda sijui ina shida gani
Huyu nguruwe wa kizungu atimuliwe tuNachoamini Mgunda angekuepo jamaa angekua fire sana. Hii ya kucheza hadi mechi za kirafiki jamaa anakaa benchi daah hapo ndo anapoteza kabisa confidence anamharibu